News

Wanafunzi 14 wamejibu matusi – Matokeo ya Necta

Baraza la Mitihani limefuta matokeo yote ya Wanafunzi 14 walioandika matusi katika upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili mwaka 2022.

a teacher marking a poor exam paper DB8X7R
Wanafunzi 14 wamejibu matusi – Matokeo ya Necta 15

NECTA pia imefuta matokeo yote ya Wanafunzi 213 ambao waliobainika kufanya udanganyifu katika upimaji wa kitaifa wa darasa la nne 2022 na pia Wanafunzi 52 ambao wamebainika kufanya udanganyifu katika upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili mwaka 2022.

“Matokeo hayo yamefutwa kwa mujibu wa kifungu cha 5 (2) (1) na 0) cha Sheria ya Baraza la Mitihani sura ya 107 kikisomwa pamoja na kifungu cha 30(2) (b) cha kanuni za mtihani mwaka 2016”

Muhabarishaji

🧪 |Medical Laboratory Scientist 🥇 | Mindset over Everything. 
 🤝 | Let's Grow Together.

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button
Update Contents