Ajira Mpya

SELECTION za Form Five na Vyuo vya Kati 2024

SELECTION za Form Five na Vyuo vya Kati 2024, Orodha Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano Na Vyuo 2024, Selection za Form Five 2024/2025, Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano 2024/2025, Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato Cha Tano na Vyuo vya Kati 2024/2025, Form Five Selection 2024/2025 – Majina ya Waliochaguliwa Kidato Cha Tano 2024.

Wanafunzi wote 188,787, waliokidhi vigezo wakiwemo wanafunzi wenye Mahitaji Maalum 812 wamechaguliwa na kupangiwa kujiunga na Kidato cha Tano katika shule mbalimbali nchini pamoja na vyuo vya kati katika fani mbalimbali.

Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Tawala za Miko ana Serikali za Mitaa (Tamisemi) Mohamed Mchengerwa amesema hayo leo Alhamisi May 30-2024 wakati akitangaza Uchaguzi wa Wanafunzi hao.

Wanafunzi 131,986 wakiwemo wasichana 66,432 na wavulana 65,554 wenye sifa, wamechaguliwa kujiunga na Shule za Sekondari za Kidato cha Tano 622 zikiwemo Shule mpya 82 zinazoanza mwaka huu wa 2024.

Wanafunzi 1,462 wakiwemo wasichana 669 na wavulana 793 walipangwa katika shule za sekondari 8 zinazopokea wanafunzi wenye ufaulu wa juu zaidi ambazo ni Kilakala, Mzumbe, Ilboru, Kisimiri, Msalato, Kibaha, Tabora Boys na Tabora Girls.

Wanafunzi 6,576 wakiwemo wasichana 3,449 na wavulana 3,127 wamepangwa katika Shule za Sekondari za Kutwa za Kidatocha Tano.

Muhula wa kwanza kwa wanafunzi wa Kidato cha Tano utaanza tarehe 01 July 2024.

Hivyo, Wanafunzi wote waliopangwa kujiunga na Kidato cha Tano kwa mwaka, 2024 wanapaswa kuanza kuripoti Shuleni kuanzia tarehe 30 June 2024.

Aidha Siku ya mwisho ya kuripoti Shuleni itakuwa tarehe 14 July 2024.

UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2024

BOFYA HAPA CHINI KUONA ORODHA YA WANAFUNZI WALIOPANGWA KWENDA SHULE MOJA

Haya hapa Majina ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Tano, Vyuo vya Kati 2024

FUNGUA JINA LA MKOA WAKO KUTAZAMA FORM FIVE SELECTION 2024/2025

ARUSHADAR ES SALAAMDODOMA
GEITAIRINGAKAGERA
KATAVIKIGOMAKILIMANJARO
LINDIMANYARAMARA
MBEYAMOROGOROMTWARA
MWANZANJOMBEPWANI
RUKWARUVUMASHINYANGA
SIMIYUSINGIDASONGWE
TABORATANGA
SELECTION Form Five 2024 Mkoa wa Dar Es Salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button